Life Style
Ni mabuibui yaliyo na 'Full' stara na kudumisha heshima baina ya wanaume na wanawake. Ni mabuibui yaliyokuza hadhi ya mwanamke. Ni mabuibui yaliyohifadhi utamaduni wa Waswahili na dini yao (Uislamu).
Yapo mabuimbui ya kisasa yenye stara ambayo mwanamke akivaa hupata heshima yake.
Leo hii tumetekwa akili na kuyaona mabuibui haya 'out of fashion.' Wasichana siku hizi wapenda mabuibui 'Slim Fit' kama lile waliitalo 'Butterfly.' Buibui limeshika mwili na kumtoa 'figure.' Akitembea sehemu zote za mwili zinazotingishika zaoneka. Kwanini ukipita maskani usisikie, 'Sister hujambo?'
Katika dini ya Uislamu tumeambiwa kuwa, "Hawatoridhika (wasiokuwa Waislamu) hadi pale mutakapofuata mila zao." Kwenye mila zao, wanampa mwanamke uhuru wa kutembea uchi au nusu uchi. Jamaa hawa waliona mbali na kujua kuwa Waisalmu kutembea uchi mbele ya umma ni ngumu (Ijapokua wako). Badala yake wakaamuwa kutengeza mabuibui ya 'Fashion' tuwe tumejistiri na huku twenda uchi.
Dini imetuambia tusikaribie zinaa kwani ni uchafu mkubwa. Mavazi mengi, hasa ya mwanamke huchangia pakubwa katika kumvutia mwanamume katika zinaa, hata kama ni ya macho. Utakapovaa vazi 'provocative' na kumvutia mwanamume akutongoze nawe umkubali basi hapo huwa ndio mwanzo wa zinaa.
Kisha tumedanganywa sana na wasiotupenda kuwa 'Sex is good' bora utumie 'protection.' Utakapotongozwa, utahadaiwa mpaka uta'give in' kwa kuwa mwatumia 'condom.' Uislamu umekataza pakubwa ngono nje ya ndoa. Hata kama 'Sex is good' kumbuka inapaswa kuwa kwa waliyoana.
Alhamdulila wako dada zetu, mama zetu na marafiki zetu wanaojistiri ipasavyo. Mungu awazidishie. Na wale waliyokiuka mafundisho ya dini Mungu awaongoze. In sha Allah Ameen.
(Photo credit flickrhivemind.net)

There are no comments