A PHP Error was encountered

Severity: Notice

Message: Only variable references should be returned by reference

Filename: core/Common.php

Line Number: 272

HABARI KWA UFUPI 3/7/14 | Blog
Fun!

Current Affairs

HABARI KWA UFUPI

Mzozo unazidi kushuhudiwa kuhusiana na ni nani hasa anayefaa kutumia uwanja wa Uhuru Park siku ya sabasaba baada ya Muungano wa Cord kutangaza utaandaa mkutano wa sabasaba uwanjani humo. Haya yanijiri baada ya kundi jingine kudai kulipia uwanja huo.

Gavana wa Machakos Dkt Alfred Mutua amemkashifu Seneta wa kaunti hiyo Johnstone Muthama kwa kile anachokitaja kama kumharibia jina na kutaka kuzima juhudi zake za kuleta maendeleo katika eneo hilo.

Muungano wa Sekta ya Kibinafsi (KEPSA) pamoja na Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanadai mkutano wa sabasaba huenda ukavuruga amani nchini.

Maeneo bunge yanayoshuhudia ukame yamepokea mgao mkubwa zaidi wa Fedha za Hazina ya Ustawi wa Maeneo Bunge (CDF) katika mwaka wa kifedha wa 2014/2015, huku yale ya mijini yakipokea mgao wa chini,eneo la Mandera Kusini likipokea mgao mkubwa zaidi wa kima ca shilingi milioni 183.

Beki wa zamani wa Gor Mahia na timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars asema mshambulizi wa Ubelgiji Divock Origi aliye na asili ya Kenya ana uwezo wa kuchezea ligi kuu ya Uingereza.

Comments

There are no comments

Post a comment