A PHP Error was encountered

Severity: Notice

Message: Only variable references should be returned by reference

Filename: core/Common.php

Line Number: 272

HABARI KEMKEM - 26/6, Asubuhi | Blog
Fun!

Current Affairs

#Gavana wa kaunti ya Lamu Issa Timamy anatarajiwa kufikishwa mahakamani alhamisi mjini Mombasa, baada ya kukamatwa jumatano usiku kwa kuhusishwa na mauji ya hivi majuzi maeneo ya Mpeketoni na Witu.

#Mvutano unatarajiwa kushuhudiwa kati ya maafisa wa polisi na muungano wa CORD ambao umeapa kuendelea na mkutano wao wa ijumaa mjini Eldoret, licha ya polisi kuufutilia mbali.

#Zaidi ya watu 21 wamedhibitishwa kufariki baada ya mlipuko kutoka katikakati ya jiji la Abuja nchini Nigeria.

Comments

There are no comments

Post a comment