A PHP Error was encountered

Severity: Notice

Message: Only variable references should be returned by reference

Filename: core/Common.php

Line Number: 272

HABARI KEMKEM - 26/6, AM | Blog
Fun!

Current Affairs

#Kongamano la kitaifa la maaskofu limeitaka serikali na hata upinzani kuweka tofauti zao kando na hata zile za vyama vyao ili kuleta uwiano na umoja humu nchini.

#Maambukizi ya kitaifa ya ugonjwa wa ukimwi sasa yamepungua kutoka asilimia 7.2 mwaka wa 2007 hadi asilimia 5.6 mwaka wa 2012. Haya ni kulingana na ripoti iliyozinduliwa na Waziri wa Afya James Macharia.

#Takwimu za hivi punde zinaonyesha kwamba wanawake elfu mia moja na sita huambukizwa ungonjwa wa ukimwi kila mwaka nchini.
 

Comments

There are no comments

Post a comment